Vibaka tu hao na hawana adabu hata kidogo, usiku mmoja tunatoka zetu Q-bar changu mmoja akaomba lift tumwache mitaa ya Namanga. Mi kwa ustaarabu wangu na huwa nawaonea huruma sana hawa, tukamchukua, tulivyofika mitaa ya Namanga akakataa kushuka eti kapoteza simu yake kwenye gari. Nikazungusha gari tukarudi Q-bar nikamwita baunsa akapiga chini kwa nguvu. Nyau tu hao, hawana akili hata kidogo.