Akina Salary Slip na Allen Kilewella wamejificha. Wanaogopa kutokea hapa.Ilikuja habari hapa na watu kuanzia kusifia mwanamama aliyekuwa kwenye baiskeli na kuuonyeshea msafara wa Raisi wa USA kidole cha kati, sasa huyu mama Juli Briskman amefukuzwa kazi kwa kitendo hicho, Waafrika hatuwaelewi Wazungu ingawaje tunafikiri tunawaelewa!
Huyo mama alipata mashabiki hapa kwamba ni demokrasia na sisi tuige, ...
Soma hapa.Story bila barua ya kufukuzwa tukueleweje wewe bumunda???
Sisomi, bando langu tusipangiane vya kusoma!
Mwombe rais Lisu akuongezee hela ya bando.Sisomi, bando langu tusipangiane vya kusoma!
Hasira za niniSisomi, bando langu tusipangiane vya kusoma!
Hasira zipo wapi??Hasira za nini
Naona hadi maandishi umebadilisha ukimaanisha kutokwa povu.Hasira zipo wapi??
Ningeshangaa km asingechukuliwa hatua.Ilikuja habari hapa na watu kuanzia kusifia mwanamama aliyekuwa kwenye baiskeli na kuuonyeshea msafara wa Raisi wa USA kidole cha kati, sasa huyu mama Juli Briskman amefukuzwa kazi kwa kitendo hicho, Waafrika hatuwaelewi Wazungu ingawaje tunafikiri tunawaelewa!
Huyo mama alipata mashabiki hapa kwamba ni demokrasia na sisi tuige, lkn wakati huwo huwo hao wanaosifia kwamba ni demokrasia hakuna alitetayari kumuonyeshea Babake kidole cha kati, ...
SourceAkina Salary Slip na Allen Kilewella wamejificha. Wanaogopa kutokea hapa.
Ni vizuri tuwe tunajiridhisha kwenye mambo huyo Mama amefukuzwa na kampuni yake bila shinikizo la serikali ila ni kwamba kampuni uliona ameweka ile Picha ya kutukana kwenye Facebook page yake na taratibu za kampuni ni kutoweka Picha za namna hiyo.
Hivyo wameamua kumfukuza kazi ingawa inawezakana pia anaweza kuwafungulia mashtaka kwa double standard kutokana kuna mfanyakazi wa kiume amewahi kutukana mfanyakazi mwenzie kwenye Facebook page yake na akapewa warning tu.