wakuu kichwa cha habari kinajielza njooni mnipe program za kuflash simu nipo kijijini nijitafutie hela ya vocha hapa maana kuna changamto ya kuflash simu
Kama ni simu android huwa nabypass kupitia video za youtube ..
Flashing tool hata hapo ulipo waweza download ..check video link jamaa wakuitwa ALBASTUZ