NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,276
- 14,524
wakuu kichwa cha habari kinajielza njooni mnipe program za kuflash simu nipo kijijini nijitafutie hela ya vocha hapa maana kuna changamto ya kuflash simu
NAWASILISHA
NAWASILISHA
NJOO NA BEI YAKO MKUU UKIAMUA KUNIPA BURE FLSH TUUna heda mgulu?
LETA MZIGO MKUUYaaan upewe bure bure tu 🤣🤣🤣haya bwana....watu wananunua movie kwa buku awekewe akaangalie ww unataka ma file buleeeed 🤣
SHUKURANI SANA MKUUKama ni simu android huwa nabypass kupitia video za youtube ..
Flashing tool hata hapo ulipo waweza download ..check video link jamaa wakuitwa ALBASTUZ
Mm sina mzigo ww mzigo wanao wanawake 😎🥶LETA MZIGO MKUU
nahitaji sana mkuu kwani shilingi ngapiUna heda mgulu?
mkuu nipe basi application hizoMm sina mzigo ww mzigo wanao wanawake 😎🥶
leta mkuuYaaan upewe bure bure tu 🤣🤣🤣haya bwana....watu wananunua movie kwa buku awekewe akaangalie ww unataka ma file buleeeed 🤣