Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
- Thread starter
- #21
Ok nitafutie mmoja nijaribu kumtongoza ila huyu hapanaSio wazito katika suala la kutongoza.,na kwa ile sabuni ya roho wachunge sana.
Ok nitafutie mmoja nijaribu kumtongoza ila huyu hapanaSio wazito katika suala la kutongoza.,na kwa ile sabuni ya roho wachunge sana.
Huwa hawakosekani kamweKuna raia lazima watest hiyo namba.
Mie kuna siku mkuu wangu wa kazi aliingia ghafla kwenye ka ofisi kangu akakuta ninacheka, nilimuona kama alistuka vile akidhani nimepagawa! duuu hadi mie mwenyewe nikajihisi choo.Ukiwa unasoma hizi koments, hakikisha haupo kwenye dala dala au mkusanyiko
Sio umtongoze ww pastor na wala sio wa kutafutiwa kwani hata hapo ibadani kwako wapo,na wanakuja kukuona kwa jambo hili au lile,shida hii au ile,lakini ni ww tu haujajua dhumuni lao kuu.,na umekaa kipasta sana wanapata shida kukushushia mistari indirect.Ok nitafutie mmoja nijaribu kumtongoza ila huyu hapana
Haaaaa mjomba jamani mweeeeehSio umtongoze ww pastor na wala sio wa kutafutiwa kwani hata hapo ibadani kwako wapo,na wanakuja kukuona kwa jambo hili au lile,shida hii au ile,lakini ni ww tu haujajua dhumuni lao kuu.,na umekaa kipasta sana wanapata shida kukushushia mistari indirect.
Mjomba mie nakunywa maji tu na togwaWe pasta umeanza pombe na wewe kama kakobe
Hahaaaaa bora ubaki na name orijino hilohiloAfadhali mimi sio Rose, maana ingenibidi kwenda kuapa mahakamani kubadili nina [emoji23] [emoji23]