Kujenga kwenu ni maendeleo ila kujenga ukweni ni heshima.
watu wakipendana mnasema limbwata ...asipomsikiliZa mkewe akusikilize wewe?
Uko wapi nikuletee ata apple?
Siku uanaume unapotea kabisa unakuta dume zima linaendeshwe kwenye ndoa kama gari bovu.
kila kitu mpaka mwanamke aseme au mpaka ukamuulize mkeo hata kumkopesha rafiki yako hela unaenda kumuuliza mkeo au kumtumia mamako hela huko kijijini unamuuliza mkeo yaani pesa utafute wewe matumizi upangiwe na mkeo, wanaume siku hizi tumezidi uzezeta ndo maana tunajenga kwanza ukweni, kile kizazi chenye misamamo ya kiume kinazidi kupotea.
Umenena mkuu mijianaume umekubali kukaliwa na wanawake!huu ni msibaSiku uanaume unapotea kabisa unakuta dume zima linaendeshwe kwenye ndoa kama gari bovu.