- Thread starter
- #21
Huyo hakuwa dada wa kazi, huyo atakuwa mchumba mpya ndio kwanza ka move in, akaona laptop inamavumbi akaamua kuipiga maji.
Hahahaa mchumba katika ubora wake. Lazma aonekane msafi
Huyo hakuwa dada wa kazi, huyo atakuwa mchumba mpya ndio kwanza ka move in, akaona laptop inamavumbi akaamua kuipiga maji.
Poua tu, uko fresh wangu?
Ntamuongeza mshahara.
Dedicated as she is and keen implementer of instructions from the boss