Haya ni madini ya aina gani?

Werrason

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
12,325
38,200
1453372925309.jpg
Haya ni madini gani?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hizi zinaitwa Chepastone zipo hizi na Nyeupe. Wanauza kwa kilo hapa Dar around 7000 zinapatikana sana Morogoro na Tanga.

Duc in Altum
 
Hizi zinaitwa Chepastone zipo hizi na Nyeupe. Wanauza kwa kilo hapa Dar around 7000 zinapatikana sana Morogoro na Tanga.

Duc in Altum

Dah, hela hiyo. Ukipata kilo 100 tu unaweza kubadilisha kitoweo. Yanapatikanaje? Bora nikatafute mawe kuliko kupiga debe hapa mjini.
 
Back
Top Bottom