Haya ni macho yangu au?

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,050
361
bunge.PNG Wakuu nilikuwa sijui kumbe inawezekana kubadilisha ownership ya website?Is it possible ?kwanini hawa Watu wa Bunge wana transfer ownership kwa Mtu na ina maana gani ?
 
View attachment 59947Wakuu nilikuwa sijui kumbe inawezekana kubadilisha ownership ya website?Is it possible ?kwanini hawa Watu wa Bunge wana transfer ownership kwa Mtu na ina maana gani ?
Mi nilifikiri unahitaji tukuthibitishie kama macho ni yako!?
Na ungeweka sanamu ya sura yako tungekwambia tu...
Kumbe ni huu upuuzi...:israel:
 
Mi nilifikiri unahitaji tukuthibitishie kama macho ni yako!?
Na ungeweka sanamu ya sura yako tungekwambia tu...
Kumbe ni huu upuuzi...:israel:

kheee..kumbe na we ni mpuuzi maana unajibu upuuzi,kumbuka usiwe na kichwa kama nazi kuhifadhi maji
 
kheee..kumbe na we ni mpuuzi maana unajibu upuuzi,kumbuka usiwe na kichwa kama nazi kuhifadhi maji
Acha BANGE dogo ona umesahau hata uliyoandika!
Rudia kusoma heading ya thread yako ebo!:iamwithstupid::sorry:
 
Back
Top Bottom