Haya ni maajabu kweli kweli....

Hakuna kitu kama hicho ni hadithi tu za enzi hata wahindi wanaamini nafikiri zimetoka kwao pia wazungu walikuwa wanaamini hivyo lakini hamna ukweli ndani yake,
 
Bado tu tupo kwenye Imani za fununu ktk karne hii ya 21??
 
Nikirudi nyumbani nitmuuliza wife kwasasa simu yake haipatikani.
 
Ninacho jua kama mwanamme ametoka kutembea na mwanamke wa nje. akimgusa mtoto wake mchanga. basi mtoto lazima augue. ndio maana baathi ya wanawake wa Tanga akimuona mume kaingia tu anambwagia kichanga kama kumtesti kama ametest nje
 
Ninachojua kwamba ni real ni kwamba kama mwanamke akichukua damu ya hedhi akaifunga kwenye jani la mpapai wa kiume halafu akalianika mpaka likauke na ile damu. siku akisaga hilo jani na kulimwaga mlangoni kwake. mumewe akipita hapo mlangoni hawezi kutoka nje ya ndoa maishani tena kwani hata kama atakwenda nje haitasimama kamwe
 


Hebu peleka hii technolojia Dom maana nasikia duh!!!!
 

kama limbwata vile!
 

Duuuh!Hii nimeipendajeee!Cjui nimfanyie babe sheghele???
 
daaa afadhari wife hapitipiti huku...
 

huo mmea unaitwa memosa huku kwetu upo. nilisoma habari zake nilipokuwa A-leval. ni mmea wa ajabu kwani unakula wadudu! mdudu akitua kwenye huo mmea hujifunga kisha kuna kemikali fulani humyeyusha huyo mdudu!
 
je ni kweli once mixed with foods can became slowly killing poison???
 
huo mmea unaitwa memosa huku kwetu upo. nilisoma habari zake nilipokuwa A-leval. ni mmea wa ajabu kwani unakula wadudu! mdudu akitua kwenye huo mmea hujifunga kisha kuna kemikali fulani humyeyusha huyo mdudu!

Naujua huu mmea kule kusini unaota maeneo ya mabwawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…