Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
Mie najua tu mwanamke mwenye hedhi akipanda Daladala au Bodaboda basi mafuta yanaisha mapema.
kuna maajabu mengi sana ila hatuna watafiti wanaotaka kufanya juu ya uhusiano wa hedhi na mazingira tunayoishi,ila nilichoambiwa kwamba mwanamke akiwa kHivi Unajua kua mwanamke akiwa katika siku
zake(hedhi) akishika mmea wa
maboga,mchicha,na hata mmea wa nyanya basi
baada ya 24hrs mmea huo unakauka na kufa
kabisa?....mara baada ya kupata hii taarifa
nikawauliza wadada wapatao sita wote
wamesema ni kweli lakini wameshindwa kutoa
sababu ni kwa nini huwa hivyo?
Wadada wa jf na nyie toeni ushuhuda wenu....
Wataalam wa sayansi ya kizungu na ya kiswahili
tupeni utaalam wenu ni nini hasa sababu ya
hii kitu.......?
Kama hii kitu inaukweli basi ni Maajabu ya
Kumi y dunia...
sjui,sjawah fanya hvo.ngoja nkiingia ya mwez wa 3 ntafanya experiment.ntakupa jbu
sio kweli, nina dada yangu anafanya biashara ya mboga za majani mwaka wa nne sasa, kila siku anaena kuhudumia na haijawahi kukauka.
kuna maajabu mengi sana ila hatuna watafiti wanaotaka kufanya juu ya uhusiano wa hedhi na mazingira tunayoishi,ila nilichoambiwa kwamba mwanamke akiwa k
tk hali hiyo alikuwa haruhusiwi kwenda kisimani,kupika chakula,kumruka au kukuruka miguu(ukiwa mwanaume)na kulala nae kitanda kimoja.
Mie najua tu
mwanamke mwenye hedhi akipanda Daladala au Bodaboda basi mafuta yanaisha
mapema.