Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
Mim ni mama nliyepo kwenye ndoa ya Kikristo,sasa mume wangu anapenda niwe nasagwa halaf huyo msichana anayenisaga awe anatulala wote yaan mapenz ya watu watatu.,Kwa hali ya kawaida mume wangu ananipenda sana na anasema anataka tufanye hvyo ili mim mke wake niinjoy zaidi mapenz..plz nishaurini hii ni kitu cha kawaida kwel? Asanteni.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Wewe una upako!!!!

Mkuu! hii story ni ya kweli au unataka kuwachangamsha wana JF!
mhhh....mumeo ana pepo, usikubali kufanya huo uchafu tena uwe na msimamo.....ikibidi nenda ukapige magoti mbele za Mungu umwombee.
Ushauri huu haufai kwani mchungaji si binadamu kama wewe. Fanya utafiti na jaribu kushauri. Jamani tunasoma humu JF ambavyo watu wanalia kwa wake zao kwenda kutafuta ushauri kwa wachungaji (EFATHA etc).Lo!
Kuna mambo duniani yanashangaza kweli kweli.
Pole sana mmama kwa tatizo hilo.
Mi nakushauri kumwona mchungaji ili akushauri wewe kwanza kabla ya kumshauri mmeo.
Utazaaje wakati bado Bikranext time ataambiwa yeye ndo amsage mwenzake
bora tukae zetu kimpango wetu lara ila tuzae tu watoto wetu wawili
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya JF...Njemba inataka 3some kwa raha zake dah!!!!! :twitch::twitch::twitch:
Hana uwezo wa kukufikisha au?
Ndoa za kulazimishana,so kakuchoka au?
Mim ni mama nliyepo kwenye ndoa ya Kikristo,sasa mume wangu anapenda niwe nasagwa halaf huyo msichana anayenisaga awe anatulala wote yaan mapenz ya watu watatu.,Kwa hali ya kawaida mume wangu ananipenda sana na anasema anataka tufanye hvyo ili mim mke wake niinjoy zaidi mapenz..plz nishaurini hii ni kitu cha kawaida kwel? Asanteni.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Anasubiri mpaka wewe utakapoiondoa ile kitu yako adimu kuikuta kwa wasichana leo hii duniani.ahahaaa dunia hii ndo maana hata yesu hataki kurudi ujue
TOBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kweli hizi ni nyakati za mwishoooooo! Yale ya firauni yameanza kutimia! Kiranga yale uliosema jana ya 3some yanatimia huku!
NASEMA HVI KAMA NDOA NDO HIZI BADO NIPO NIPO SANAAAAAAAAAA!