Danny Massawe
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,296
- 757
Ningependa kusikia maoni yenu kuhusu hiyo quote ya prof.Shivji.
Asanteni.
Asanteni.
Ningependa kusikia maoni yenu kuhusu hiyo quote ya prof.Shivji.
Asanteni.
ndiyo ustaarabu ukikosea, unakosolewa,ukifanya vzr unapongezwa.Kesho utamsikia anamsifia mtu yue yule anaemponda leo hapa tena kwa kumwagia sifa kibao.
Ningependa kusikia maoni yenu kuhusu hiyo quote ya prof.Shivji.
Asanteni.
Ningependa kusikia maoni yenu kuhusu hiyo quote ya prof.Shivji.
Asanteni.
Zamani nilikuwa nawaogopa sana ' Maprofesa ' ila baada ya kugundua kuwa wengi wao wana ' mtindio wa akili ' sasa nawaona ni wa kawaida mno na si ajabu hata Mimi mwenye ' Kadigrii ' kangu kamoja tu haka naweza kuwa juu yao kiakili, kimawazo na kiupeo.
God is watching....!!!JAMANI JIRANI PITA MLANGONI uje uone hii "what about those with genuine certificates but fake education?" Inaweza kukuhusu maana Ben Ten haeleweki yuko wapi kwa ajili hiyo hiyo
Kwa hiyo unasupport kuwa kujua kusoma nankuandika inatosha au siyo??Kwanini kaongea vibaya hapo?? Au nyie mmeelewaje?? Mbona kaongea fact?? Acheni upumbavu wenu bhana.. kwani hakuna wenye vyeti halali ambao hawana elimu (Uelewa wa mambo)?? Naje vp kuhusu serikali ambayo inatoa elimu iliyo chini ya kiwango vp hatuwezi ilaumu??? Mwakyembe ana vyeti vizuri lkn hana elimu nzuri... Mbowe hana vyeti vizuri lkn ana elimu (uelewa). Prof yuko vizuri.. tatizo hamjui fasihi..
Mfano Lipumba na mwakyembe sidhani kama wanakumbuka walichosoma kwa sasa yaani Ubongo ni kama umeoza kile kipande chote inapokaa Taaluma wamekuwa ni kama darasa la nne tu.Hata ukisoma Havard kama hauna bidii ya kueleweka unayofundishwa bado utakuwa na genuine certificate with fake education "
" Education is what remains after you have forgotten everything you learned in school "Albert Einstein
Nadhani hili lilikuwa zoezi la watu wenye vyeti Feki, hayo mengine yalikuwa nje ya scope of project.
Ni kweli naunga hoja wa 100% wapo wenye vyeti vizuri sana Olignal kabsa saafi bila Doa lakini kichwani hawana Taaluma yenyewe wamejaza ugoro na ujinga mtupu mfano namba moja ni Lipumba na wengineo akina Mwakyembe, kapuya , kigwangala na wenzao kibao na hao ndiyo wameifanya Elimu ya Tanzania kuonekana si kigezo cha kufanikiwa maisha, wengi wanawaona wenye PhD kama watu wasiokuwa na weledi wa kutosha, ni wakati wa kuandaa mitaala mipya Elimu ya Tanzania ifufuliwe hamasa ya kuwaasa watu wasome kwa bidii na kweli iongezeke zaidi, Taaluma feki vichwani zipungue.Kwanini kaongea vibaya hapo?? Au nyie mmeelewaje?? Mbona kaongea fact?? Acheni upumbavu wenu bhana.. kwani hakuna wenye vyeti halali ambao hawana elimu (Uelewa wa mambo)?? Naje vp kuhusu serikali ambayo inatoa elimu iliyo chini ya kiwango vp hatuwezi ilaumu??? Mwakyembe ana vyeti vizuri lkn hana elimu nzuri... Mbowe hana vyeti vizuri lkn ana elimu (uelewa). Prof yuko vizuri.. tatizo hamjui fasihi..