Mbona jina la pango hili lina uwalakini? MUST-ALLAH
Wajinga Ndiyo Waliwao.[/QUO
tufafanulie mkuu....pengine we sio mjinga....tujuzeni tusiojua kuhusu hayo mambo
Hajui ulitendalo, pole sana.Huo siyo walakini mkuu. Ndiyo maana na kazi halisi za huyo mwenye jina. Na lazima awe yeye!. Ndiyo maana ya hilo jina la hayo yote.
Hajui ulitendalo, pole sana.