Haya ndo malango ya kuzimu Tanzania

Ayaa basi tusaidie kuyatoa mkuu yasidhuru tena yabane hukohuko upanga
 
kama huna cha kupost ni heri kukaa kimya tu. Unaelezea mambo ambayo hayapo
 
Muda uliotumia kuandika UZI juu ya MUSTALLAH, na ukijua fika huna MAJAWABU juu ya ni vipi LITAFUNGWA lango hilo, ambalo umelitaja kuwa ni HATARI kwa wana DARISALAAM......

Ni bora ungetumia muda wako japo kuandika WALAU shairi.....

Pengine ungeweza kuuza kwa WATANZANIA.....

Haya mleta MADA, yote ni kazi ya Mungu (kwani ni yeye MUUMBA wa vyote)

Na ilikuwa ahadi ya shetani kwa Mungu wake kuwa atawapotosha na kuwaharibia WANA wa ADAM mambo yao.....
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom