Haya Ndo Maamuzi Yangu October 25

Haya Ndo Maamuzi Yangu October 25

Nkundwe Sr

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
6,299
Reaction score
9,797
Huyu ndo kura yangu!!!!

attachment.php
 
Toka amezaliwa lami mpk mlangoni,maji yanatoka full. Baba amestaafu na bado anapewa full mahela na gari.
 
Nikikumbuka mchakato wa 'KATIBA MPYA' namchukia sana huyo mama hapo. Amempotezea Magufuli kura yangu
 
Hii nchi ina vilaza sana yani upo pamoja na kina uwoya na ray??? R I p ccm
 
Magufuli rais na vikatio tunavyo UKAWA poleni
 
Magufuli rais na vikatio tunavyo UKAWA poleni

Toka lini Ng'ombe akajichinja ?? Vichinjio vipo ukawa tulieni kwa heshima muelekezwe kibla Oct 25 mchinjwe vinginevyo mtapigwa shoka tu kama nguruwe akuna cha kibla
 
Toka lini Ng'ombe akajichinja ?? Vichinjio vipo ukawa tulieni kwa heshima muelekezwe kibla Oct 25 mchinjwe vinginevyo mtapigwa shoka tu kama nguruwe akuna cha kibla

Mkuu asubuh tutamkata lowassa na yy hlo analijua
 
Mkuu asubuh tutamkata lowassa na yy hlo analijua

Hakuna miujiza ya kumfanya MAGUFULI ashinde! Ikulu asahau kabisa! Vijana ni 56% na 50% ni UKAWA, unategemea kuna Uchaguzi hapo? Piga kura yako kwa LOWASSA usipoteze muda ndugu.
 
Jamanii mm ninachoomba humu jamvini tuendelee kuwepo hata baada ya matokeo. Tusikimbiane wala kubadili ID.

Ahsanteni!
 
toka lini ng'ombe akajichinja ?? Vichinjio vipo ukawa tulieni kwa heshima muelekezwe kibla oct 25 mchinjwe vinginevyo mtapigwa shoka tu kama nguruwe akuna cha kibla
wewewe usiseme nguruwe wakikusikia watakua hawaombi maji kwenu
 
Nikikumbuka mchakato wa 'KATIBA MPYA' namchukia sana huyo mama hapo. Amempotezea Magufuli kura yangu

Hunishindi mimi mkuu ninapowasikia wanaiponda serikali ambayo waliitumikia tena kwa nyadhika kubwa na kushiriki kututungia katiba ya kuwalinda halafu sasa wanatufanya wote wapumbavu na malofa wakitusisitiza tuwaamini kuwa wao ni waadilifu tu ati kwa vile wamehamia upande wa pili na kuvaa ngozi ya kondoo nawachukia sana, kama huyu mwingine kamaliza ujana wake huko na meno yote kang'olea huko ati na yeye ananishawishi!!??
 
Back
Top Bottom