Haya ndo maajabu ya viongozi na chaguzi Africa. Kenya, Rwanda, Nigeria, South Africa

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,553
Its tough being an African:

Kenya is voting for a new president,

South Africa is voting to oust their president,

Nigeria doesn't know where its president is,

Rwanda pretended to vote for their president and Uganda doesn't know how old their president is!

Tunahitaji kutawaliwa.

Chai njema
 
Bara la watu weusi wasiojua thamani ya utu wa mwanadamu kwa kufuata mila na desturi zake pamoja na kuwa na ardhi nzuri na Maliasili zilizopo lakini bado ndiyo umasikini,vifo,maradhi na ujinga vinaongoza duniani.
 
Back
Top Bottom