Haya ndiyo ya walimwengu...

Haya ndiyo ya walimwengu...

Mpaka umefika hapo hujawahi kupata ufahamu kuhusu heredity?

Kama bado, ni muda wako kujifunza ili uache kushangaa na visivyo vya kushangaa
Haahahah
Sijamdharau mtoto,nimeshangaa tu mama yake niliambia mrembo, mbona hajazaa mrembo kama yeye?instead mie mbaya nimetoa bonge la HB halina mfanowe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ngoja kwanza, hivi ndo kuna WALI NDONDO na WALI MWENGU eh?
 
Hapo kwenye mtoto wa miezi 9 kucheza kwenye garden na kaka yake ndiyo umetufungua kuwa hii ni chai kama zilivyo chai nyingine.

Alafu unasema wewe na bwana wako mukawa munatia story,kula,kunywa na kuangalia,hapa chai umeongeza vitunguu swaumu
Ahh walikuwa na mdogo wangu,plus house help
Sie tuliket living room tukinywa wine na kumdeku tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jumapili iliyopita nikiwa nyumbani nimetulia na familia nikasikia hodi. Mdogo wangu kwenda kufungua akawakaribisha wageni ukumbini.

Kutokea sebuleni nikashangaa ni mtu aloniacha kwa kashfa na dharau, akafanya hadi nikapata msongo wa mawazo na kichanga changu.

Anyway miaka imepita, am happy with my new lover and my little prince, a very smart and handsome boy.

Aliongozana na mwanae wa kike ana miezi tisa kwa maelezo yake. Madhali walishakaribishwa hadi ukumbin sikuwa na jinsi ila tu kuwapa fake smile na kuwapokea. Akadai kamleta bintiye amsalimu kaka yake, nikajibu sawa.

Tukawakaribisha, nikiwa na my love pembeni. Vinywaji, msosi, movies zikawekwa na watoto wakawa wanacheza bustanini.

Niseme tu kuwa nilijikaza nisicheke. Mweeeh, kabinti kamevishwa mavazi ya Kariakoo, full anawakawaka ila ukimtazama huwezi dhani ni binti, at first nilidhani ni mtoto wa kiume.

Kimoyomoyo nikawa najiambia hapana, mwanangu hana dada kama huyu!

Anyway ndo walimwengu na ya walimwengu haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Forgive and Be Humble..hata wewe hapo usijione kama vile ushamaliza Maisha, huyo Bintiye unaemcheka hujui kesho atakuwa nani.
 
Huna lolote umemuona jamaa ukakumbuka alivyokuwa anakukaza, ndo unaleta wivu kwa mtoto.
 
niliwahi kuwa na mwanamke mbaguzi sana kwa watoto,yeye akimuona mtoto ana sura mbaya anamfukuza asimsogelee au asimbebe kabisa...ila akimuona mtoto ni HB au cute ataanza kumbusu kumkumbatia nk....
nilivyoona analeta ungese ubaguzi kwa watoto nikaamua kumpiga chini moja kwa moja..
Kwako mleta thread acha hiyo tabia mbaya kumbuka huyo mtoto hajajiumba
 
Back
Top Bottom