Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,812
- 95,718
Kwani ni lazima mtoto afanane na mama yake? Atakuwa kafanana na huyo bwanako.Haahahah
Sijamdharau mtoto,nimeshangaa tu mama yake niliambia mrembo, mbona hajazaa mrembo kama yeye?instead mie mbaya nimetoa bonge la HB halina mfanowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hlf hakuna mtoto mbaya, huyo unayemuona mbaya Leo baadae atakuwa mzuri, na hako ka hb katabadikika katakuwa kabayaaaa