HAYA ndiyo MANENO hatari TANZANIA...

HAYA ndiyo MANENO hatari TANZANIA...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Ni maneno yanayoudhi. Ni yanayoonesha kutojali na kutowajibika hasa pale panapokosekana Takwimu. Yapigwe vita. Maneno yenyewe ni haya:

1. 'wapatao'

2. 'takribani'

Ukiweza ongeza mengine. Ni maneno ya maangamizi.Yanabeba uzembe uliopita kiasi kwa kutapatapa baada ya kukosa takwimu za wahanga wa ajali mbalimbali kama za moto,magari,meli,boti,mitumbwi na hata mabomu.

Kuanzia sasa,kama unaweza, mnase kibao yeyote atakayetumia maneno hayo.Nitakutetea bila malipo.Tuatakuwa tumefikisha ujumbe wetu. Yakome maneno haya...
 
Tume..< Tutaunda tume..,Tume iliyoundwa na...,Tume ya..!> tume tume tume nachukia sna hii.
 
........Upembuzi yakinifu umekamilika..............kazi ya ujenzi itaanza mara moja........................
 
"... wakati wakinyang'anyana bunduki na askari, kwa bahati mbaya risasi moja ikafyatuka na ikampata marehemu kichwani"
 
Suala hili linazungumzika ni imani yangu tutafikia muafaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom