[emoji28] [emoji28] [emoji28]Awe hajaolewa
No noMmh basi tena nishakosa vigezo
Hahahahaaaaanaomba utuwekee kapua ka mama yako plz
Kuna kimoja umesahauNatural tingz:
1.Nywele halisi zibanwe nyuma tu.
2.No full time makeups, ngozi iwe free.
3.Chura awepo proportional to thighs.
4.Akiwa na mdomo mdogo its A+ wenye lips nene kidogo.
5.Kapua kadogo like my moms.
6.Urefu sio ishu ila asiwe mfupi below 5ft.
7.Skin tone iwe dry, light au dark brown.
8.Awe independent kiakili asiwe mtu wa circles,mwanamke kushikiwa akili na mashosti its a biggest turnoff kwangu.
9.Awezae kumudu tamaa za mwili katika hali zote kimaisha,sio mtu kila akionacho anataka awe nacho yeye tu.
10.Yule mtaratibu, understanding na pia apendae kuchangamshwa na utani kwa mbali. I would love to see her beauty face smile always na nitahakikisha hilo linatokea kila akiwa namimi.
Mind you, hakuna mkamilifu ila mwenye asilimia 80 ya haya nilioyoainisha ana nafasi nzuri ya kutokewa.
Hebu wenzangu mje mtaje yenu tafadhali!
Natural tingz:

Umesahau moja ya 11Natural tingz:

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nimechora yote uliyoandika mwisho wa siku imetokea hv
View attachment 508566
ukiendelea na vigezo ving hvyo umri utaenda na mwishowe utabakiwa na kigezo kimoja tu cha u-mwanamke(yaani mwanamke yeyote)Natural tingz:
1.Nywele halisi zibanwe nyuma tu.
2.No full time makeups, ngozi iwe free.
3.Chura awepo proportional to thighs.
4.Akiwa na mdomo mdogo its A+ wenye lips nene kidogo.
5.Kapua kadogo like my moms.
6.Urefu sio ishu ila asiwe mfupi below 5ft.
7.Skin tone iwe dry, light au dark brown.
8.Awe independent kiakili asiwe mtu wa circles,mwanamke kushikiwa akili na mashosti its a biggest turnoff kwangu.
9.Awezae kumudu tamaa za mwili katika hali zote kimaisha,sio mtu kila akionacho anataka awe nacho yeye tu.
10.Yule mtaratibu, understanding na pia apendae kuchangamshwa na utani kwa mbali. I would love to see her beauty face smile always na nitahakikisha hilo linatokea kila akiwa namimi.
Mind you, hakuna mkamilifu ila mwenye asilimia 80 ya haya nilioyoainisha ana nafasi nzuri ya kutokewa.
Hebu wenzangu mje mtaje yenu tafadhali!
Love oriented kivipi, unataka mwenzio awe na proportion ya chura na thighs,urefu, pua mara nywele ectVyote utavyotaka, ila tu viwe love oriented!
Huyu sisimamishi hata kwa bomu la nyuklia ya North Koreanimechora yote uliyoandika mwisho wa siku imetokea hv
View attachment 508566
Acha dhambikanaonekana kazuri mpaka anakatamani
Pesa na ududu ipo mkuu, kuna lipi ambalo mwanamke anahitaji zaidi ya hayo? Sura yangu ni ya kiume kama ndama mutoto ya ng'ombe!Love oriented kivipi, unataka mwenzio awe na proportion ya chura na thighs,urefu, pua mara nywele ect
Wewe ukoje ama una nini...kazi yako,salio benki Hehehe usijetoa povu bure
Hio hai apply kwa mwanamme rijali, nakuhakikishia tu. Kwa nguvu ya pesa naweza kuchukua hata binamu yako aliezaliwa mwaka jana kipindi nikifika umri wa mzee mengi!!!ukiendelea na vigezo ving hvyo umri utaenda na mwishowe utabakiwa na kigezo kimoja tu cha u-mwanamke(yaani mwanamke yeyote)