Haya ndio matokeo ya upinzani kukosa agenda

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
1,984
1,405
Naona vijana wa Act Wazalendo baada ya Kubanwa Kiongozi wao Mkuu wa Chama athibitishe walau jina au picha ya Afisa Usalama wa Taifa aliyemtisha sasa Wamemrukia Thobias Mwesiga wamepata mnyonge wao.

Kwa Jinsi hii vijana wa CCM kaeni chonjo kila moja atakuwa Afisa Usalama wa Taifa na mtasingiziwa kweli.

Lakini hizi zote ni kwasababu vyama vya Upinzani wamekosa Agenda ya Kushawishi Watanzania sasa wamebaki kutengeneza chuki lakini ili pia watashindwa.

Viongozi wa Upinzani Hawajiulizi kwanini Baba Mtakatifu Papa Yohana Paul II alipofika nchini mwanzoni mwa 1990 alibusu Ardhi ya nchi yetu jambo ambalo siyo la kawaida.

Badala ya kuhangaika kuchafua nchi hii nendeni mkajipange Upya mtafute ajenda ya Maendeleo kwa Watanzania, lakini hii kupigana risasi na kuzurura nchini za Magharibi au kuendesha siasa za Umbeya hamtaweza.

Nchi hii inalindwa kwa Uwezo wa Mwenyezi Mungu siyo matakwa ya Wanadamu.

Ndugu Zitto Kabwe na chama chako naona anguko lenu baada ya mabadiliko ya sheria ya Vyama vya siasa ya 2018 kwasababu haiwezekani chama chenye demokrasia kikawa na Viongozi wa kukaimu kuanzia Mwenyekiti wa Taifa, Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Katibu mkuu Taifa na wakuu wa idara zaidi ya Miaka miwili kinyume hata na katiba ya Chama na kila anayehoji anatimuliwa Uanachama.

Siasa za Kilaghai zimepitwa na wakati, siasa za kujadili watu zimepitwa na wakati.

Watanzania wanataka siasa za Masuala.

Naona siasa za wiki ni kumjadili Thobias Mwesigwa kada wa ccm aliyepachikwa cheo cha Usalama wa Taifa.

Sijui hata huyo wanayedai ni afisa usalama wa Taifa sijui Zitto Kabwe alitumia kigezo ipi kumtambua kuwa ni Afisa Usalama wa Taifa?

Alimjuaje ni Afisa Usalama wa Taifa?

Siku zote nasema siasa ni falsafa na falsafa ni msuguano wa mawazo.
Moja ya changamoto ambayo naweza kukiri kwetu sisi Chama Cha Mapinduzi ni kuachia siasa kuendeshwa kiholela mpk na matapeli yaani tumefanya kila mtu anaweza kuwa mwanasiasa.

Hatukuweka misingi imara ya kusimamia Taasisi za kisiasa na wanasiasa madhara yake Ndiyo Haya ambayo imefanya siasa kuwa Holela

Siasa Ndiyo roho ya Taifa inapaswa kuendeshwa na watu wenye Uweledi na misingi imara ya Nchi na Itikadi.

Leo hii mtu yeyote anaweza kuwa mwanasiasa ukimuuliza anaamini ktk Itikadi gani utasikia anakuambia Itikadi ni ya nini?

Leo hii tuna wanasiasa hata ndani ya chama Tawala ambao wanaamin juu Uliberali bila wao kujijua kuna Viongozi na wanasiasa waliyowahi kukaanga katiba na sera ya ccm adharani lakini wapo tu, kwa kifupi tunao wanasiasa ambao hawajui wanachosimamia isipokuwa wanachotafuta ni madaraka kupitia vyama vya siasa.

Niwaombe vijana hasa wa vyama vya Upinzani wafanye siasa zenye Agenda na siyo Matukio.

Kidumu Chama cha Mapinduzi
FB_IMG_1547966686458.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwn hujui wachawi na wewe ndugu mwandishi! Itakuwa alipiga ramli chonganishi. Kaona uchawi hauna dili anajaribu kusimama kwa miguu yake napo anachemka mbaya. Mara bwawa LA maji Mara ataua mpaka sisimizi, duh! Mi nshaachaga hata kumfuatilia huyo ZZK
 
Naona vijana wa Act Wazalendo baada ya Kubanwa Kiongozi wao Mkuu wa Chama athibitishe walau jina au picha ya Afisa Usalama wa Taifa aliyemtisha sasa Wamemrukia Thobias Mwesiga wamepata mnyonge wao.
Kwa Jinsi hii vijana wa CCM kaeni chonjo kila moja atakuwa Afisa Usalama wa Taifa na mtasingiziwa kweli.
Lakini hizi zote ni kwasababu vyama vya Upinzani wamekosa Agenda ya Kushawishi Watanzania sasa wamebaki kutengeneza chuki lakini ili pia watashindwa.
Viongozi wa Upinzani Hawajiulizi kwanini Baba Mtakatifu Papa Yohana Paul II alipofika nchini mwanzoni mwa 1990 alibusu Ardhi ya nchi yetu jambo ambalo siyo la kawaida.
Badala ya kuhangaika kuchafua nchi hii nendeni mkajipange Upya mtafute ajenda ya Maendeleo kwa Watanzania, lakini hii kupigana risasi na kuzurura nchini za Magharibi au kuendesha siasa za Umbeya hamtaweza.
Nchi hii inalindwa kwa Uwezo wa Mwenyezi Mungu siyo matakwa ya Wanadamu.
Ndugu Zitto Kabwe na chama chako naona anguko lenu baada ya mabadiliko ya sheria ya Vyama vya siasa ya 2018 kwasababu haiwezekani chama chenye demokrasia kikawa na Viongozi wa kukaimu kuanzia Mwenyekiti wa Taifa, Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Katibu mkuu Taifa na wakuu wa idara zaidi ya Miaka miwili kinyume hata na katiba ya Chama na kila anayehoji anatimuliwa Uanachama.
Siasa za Kilaghai zimepitwa na wakati, siasa za kujadili watu zimepitwa na wakati. Watanzania wanataka siasa za Maswala.
Naona siasa za wiki ni kumjadili Thobias Mwesigwa kada wa ccm aliyepachikwa cheo cha Usalama wa Taifa.
Sijui hata huyo wanayedai ni afisa usalama wa Taifa sijui Zitto Kabwe alitumia kigezo ipi kumtambua kuwa ni Afisa Usalama wa Taifa?
Alimjuaje ni Afisa Usalama wa Taifa?
Siku zote nasema siasa ni falsafa na falsafa ni msuguano wa mawazo.
Moja ya changamoto ambayo naweza kukiri kwetu sisi Chama Cha Mapinduzi ni kuachia siasa kuendeshwa kiholela mpk na matapeli yaani tumefanya kila mtu anaweza kuwa mwanasiasa. Hatukuweka misingi imara ya kusimamia Taasisi za kisiasa na wanasiasa madhara yake Ndiyo Haya ambayo imefanya siasa kuwa Holela

Kidumu Chama cha MapinduziView attachment 1000646

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo siasa zenye agenda wanazifanyia wapi?
 
Ngoja aje faizafox aone picha ya huyo beberu akiibusu ardhi ya nchi yetu ndio utajua huwezi siasa bali kuhubiri mfumo kristo.
 
Kidumu walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwn hujui wachawi na wewe ndugu mwandishi! Itakuwa alipiga ramli chonganishi. Kaona uchawi hauna dili anajaribu kusimama kwa miguu yake napo anachemka mbaya. Mara bwawa LA maji Mara ataua mpaka sisimizi, duh! Mi nshaachaga hata kumfuatilia huyo ZZK
Na nyumba yake ya Uchawi iliungua moto kwa neema ya Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo anayebusu ardhi. Halafu post namba moja ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Ccm ingekuwa imara na yenye hoja tusingeona mabox ya kura yakitolewa vituoni na kwenda kujazwa kura za ccm. Ww zungumzia mabavu ya vyombo vya dola na sio ccm kama chama cha siasa.
Haya nayo unayoongea tunaita black Propaganda ambayo utumiwa na vyama vinavyoamini katika Imani ya kishetani kama chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo anayebusu ardhi. Halafu post namba moja ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Ccm ingekuwa imara na yenye hoja tusingeona mabox ya kura yakitolewa vituoni na kwenda kujazwa kura za ccm. Ww zungumzia mabavu ya vyombo vya dola na sio ccm kama chama cha siasa.
Hivi Poland nayo ni Mabeberu? Au hujui maana ya Mabeberu kwahiyo ukadhani watu weupe wote ni Mabeberu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo uporaji wa kura wa kipuuzi hatuhadithiwi tumeona kwa macho yetu. Hamna jipya kama chama cha siasa bali kuchangamana kwenu na vyombo vya dola ndio salama yenu.
Psychology inaonyesha mtu mwizi tabia yake ni kutoamini mwenzie maanake yeye ukimuachia bega ashakupora kwahiyo anadhani kila mtu mwizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom