Haya Ndio Mataifa huru duniani

Ni

Ni tawi la Marekani acha ubishi ,linaishi Kwa nguvu za MAREKANI .Fuatilia hata ruzuku na siraha anazopewa
Hujui chochote waisrael walioko marekani ni wengi kuliko waliopo Israel na ndio wanaendesha siasa za marekani, hivi hujiulizi netanyau alipata wapi ujasiri wa kuwakoromea viongozi wa marekani. Ingekuwa Taifa jingine vingeanza vikwazo na mkakati wa kumwangusha kiongozi wa Israel lakini kwanini walikaa kimya
 
We hamna kitu kabisa, inaonekana unapenda league, hujamwelewa mketa mada , inatakiwa uulize kwa Nini hayo mataifa.
 
Where is India my guy?
 
Hata Tanzania tuko huru sema hatupendi tu kujionyesha...
 
Nyingine hii Cuba.
 
Mawazo yako haya.
Tuambie.
Ujerumani ni kibaraka wa nani?
 
Mtoe Iran . Iran bila Urusi na China hatoboi, so hafai kukaa hapo.
 
UK, France na German ni vibaraka tu [emoji848]
 
Unatumia cha Arusha
 
Nakubalina na wewe 100% Russia ndo kwanza anapigania uhuru wake. Bado hana uhuru wowote na ndo maana ana vikwazo kila kona. Nani anayeweza kumwekea US vikwazo. Uchumi wa Russia bado sana. Ni sawa na Uchumi wa Jimbo tu US. Uhuru lazima uendane na uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…