ukijigonga tu na jabali wakati umepiga mwereka kwishnei…na hizo currents zilivyokuwa strong hapo...ukidondoka hapo unakuwa kitoweo cha samaki
Hujambo?
Kwanini kiasi mine?
ahsantePole sana. Linaumaje? Labda hujakula vizuri
ahsante
yaaani nimechelewa kula nilikuwa busy mchana nikapuuza kula hapa nilipo nasikia njaa kali na kila ninachokula sishibi nagusa naacha we acha tu
Dah huko kukaa na njaa ni tatizo lingine. Kama unapata maziwa fresh unywe kama glass moja kabla hujalala
naomba mungu iwe hivyoFanya ivo mine. Kunywa tu maziwa kila kitu kitakua fine, na ilo unaloliogopa sahau kabisa, huumwi, ok?