Haya ndio maisha yetu

Hahaha huyo goalkeeper kaniacha hoi alivyotanua miguu, mpira haupiti hapo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hahahhaha, huyu akikua lazima awe Oliver khan aisee, n noma sana
 
Hahahha maliasili yote si itakuwa nje. But ya mtoto haina shida bana hata ikionekana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hahahaaaa lakini ukiwa na mkwe lazima ujifanye hujaona au utazuga kuangalia pembeni
 
Da hizi picha zingine zinabidi ushibe kwanza ndio uziangalie maake zinavunja mbavu ati,badala ya kusikitika imebidi nicheke,haya maisha wakati wengine wanaishi kama wapo jehanamu au zama za mawe wengine wanaishi kama wapo ikulu ya Obama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…