haya ndio maisha (picha)

Hiyo ndo hali halisi pict ya 3 nimeipenda wale kwapua kwapua ndo dawa yao
 
Picha namba 3 mie hoi,kazi kwenu vibaka, na sijuii ikiita hilo purukushani la kufungua kufuli linakuwaje?
 
huyo baba naniiiii naye
sas hilo kufuli halimuumizi.........lol
 
Picha namba 3 mie hoi,kazi kwenu vibaka, na sijuii ikiita hilo purukushani la kufungua kufuli linakuwaje?
Mbona easy!tachana hicho kigozi kilicho support simu kwa Topaz,nasepa na simu kiulaini,namuachia kufuli lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…