Haya ndio maelezo aliyoyatoa msemaji mbumbumbu wa mikia kwa wana mbumbumbu wenzie

Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
16,615
38,589
Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amesema wachezaji Emmanuel Okwi na Clatous Chama walichelewa kujiunga na kambi ya Simba mkoani Morogoro kutokana na sababu maalum na sio kweli kuwa wachezaji hao walifanya mgomo
Akizungumza na waandishi wa habari leo Makao Makuu ya klabu ya Simba yaliyopo mtaa wa Msimbazi, Manara amesema klabu iliwapa ruhusa wachezaji hao kushughulikia masuala yao ya kifamilia na tayari wamesharipoti mkoani Morogoro kujiunga na wenzao

"Hakuna mchezaji aliyegoma kama taarifa zinavyoenezwa huko mitandaoni hivi timu inayocheza klabu bingwa Africa kuna mchezaji anaweza kugoma?", amehoji Manara

"Okwi na Chama walipewa ruhusa maalum na tayari wapo kambini toka jana"

"Sisi kwa sasa tunaweza chukua mchezaji yeyote hata Tp Mazembe sio kama kipindi kile kwa sasa simba ni giant inabeba yeyote"

"Tuna barua zaidi ya 100 za wachezaji mbalimbali wameomba kuchezea Simba msimu ujao tena wengine wametoka vilabu vikubwa hapa Tanzania wanahitaji kucheza hata bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabia za kike utazijua tu.Kinachokuwasha nini?Alikuwa anaongea na Chura ?
Utakuja uvalishwe dera kwa kupenda kuingilia yasiyokuhusu.
 
Hivi aliewapa jina la mbumbumbu fc aka wazee wa xpel ni nani? Huyu ropo ropo domo bwaku anaongea kitu gani muchukue mchezaji kutoka TP Mazembe 450 million kwa Tuisyenge mmeufyata hacha udaku Chai jaba
 
Hivi yanga wanna wasemaji wangapi maana utamsikia Zahera Mara Akilimali wore wanatoa taarifa za yanga dismas ten naona haongei au na yeye Yuko kwenye mgomo
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hivi yanga wanna wasemaji wangapi maana utamsikia Zahera Mara Akilimali wore wanatoa taarifa za yanga dismas ten naona haongei au na yeye Yuko kwenye mgomo
Kuna issue zinamuhusu kocha na issue zinahusu msemaji wa timu tatizo lenu msemaji wenu pia kocha mambo ya technical bench anaongea yeye.
Tazama wenzetu waliotutangulia wanaendeshaje mambo hayo.
 
Back
Top Bottom