Haya ndio madhara ya limbwata la paka

Haya ndio madhara ya limbwata la paka

Mwanamke atakaefanya au anaefanya libwata kama hili hukumu yake ni kunyongwa tu
 
Duuh hatari sana haya Mambo kwa kweli. Ila nimejifunza Kitu
 
Ila nikweli mkuu utakuta mwanamke anapata sana mateso kwenye ndoa yake mpaka inapelekea haya yote kufanyika. Muda mwingine sio wa kuwalaumu
Ni mfumo dume ndio umewafanya kuwa hivyo
 
Ila nikweli mkuu utakuta mwanamke anapata sana mateso kwenye ndoa yake mpaka inapelekea haya yote kufanyika. Muda mwingine sio wa kuwalaumu
Kabisa chief.. Na kama hiyo haitoshi wazazi hawakumpa fursa ya kwenda shule n.k
 
Duuuhhh hapo kwenye hivyo vitu imekosekana MAANDAZI YA KUCHEMSHA,SIAFU MCHICHA MWIBA,SISIMIZI BIKRA NA MAJI YA BAHARI YASIYO NA CHUMVI
pia kasahau JASHO LA KUNGUNI, MATE YA KAKAKUONA NA UTUMBO WA NZI
 
Nilipoona tu Namba ya simu mwanzo na mwisho wa hili bandiko nikajua tu ndio walewale..
 
Duuuhhh hapo kwenye hivyo vitu imekosekana MAANDAZI YA KUCHEMSHA,SIAFU MCHICHA MWIBA,SISIMIZI BIKRA NA MAJI YA BAHARI YASIYO NA CHUMVI
Kweli kabisa mkuu bila kusahau na wazungu waliomwagwa kwenye 0713 yako na shaba wako
 
Back
Top Bottom