Haya ndio madhara ya kutaka makalio ya aina flani

Haya ndio madhara ya kutaka makalio ya aina flani

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211

[h=1]Miss BumBum contestant and Brazilian TV presenter reveals the shocking damage caused by fillers injected to give her a bigger bottom and thighs [/h]
​
<center> <ins id="aswift_2_expand" style="margin: 0px; padding: 0px; border: currentColor; border-image: none; width: 336px; height: 280px; display: inline-table; visibility: visible; position: relative; background-color: transparent;"></ins></center>
 
Halafu huyu akifa watasema eti ni kazi ya MUNGU wakati ni kazi ya shetani
 
Daaah hataree...ila ajali kazini tu hiyo
 
Atajutaje! Halafu hiyo ni kansa kali haiponi!
 
Halafu huyu akifa watasema eti ni kazi ya MUNGU wakati ni kazi ya shetani

Umenena ya kweli kabisa hayo tena inahuzunisha na kusikitisha sana na chozi la damu linanilenga hapa lakini nao hao ni sawa sawa na fundi wao ni kipofu hawasikii wala hawambiliki na sijui hapa bongo nazo zipo hizo dawa au la
 
Ndio wajifunze sasa, lakini cha ajabu hata habari hawana au sijui niseme ndio hawajali
 
Back
Top Bottom