Haya Ndio Maandalizi Ya NIPA

Haina tatizo aisee si uliona afande alivyoichambua kitaalamu mkuu...!
Hiyo ni fursa kwa wana Ntwara kinachotakiwa atokee mjanja mmoja ai-bland vizuri na aipatie jina litakaro shawishi vijana na mahotel makubwa kunywa na kuuza.
 
Hiyo ni fursa kwa wana Ntwara kinachotakiwa atokee mjanja mmoja ai-bland vizuri na aipatie jina litakaro shawishi vijana na mahotel makubwa kunywa na kuuza.

Mtetezi wa wanyonge atakubali aisee...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…