Haya na mazoezi ya jeshi gani...

Haya na mazoezi ya jeshi gani...

hi shughuli nzito sana sijui inaitwa bong'oa
 
Walinzi hawa...group 3 sercurity company wako pale buguruni kwa mchambia mawe!

this qualifys for a drama/circus army alone. My take, they are graphically modified images.
 
jama waliruka fensi baada ya recall kupita ndio wakapewa iko kiadhabu..:A S embarassed:
 
Kazi ipo sasa hawa wetu wenye majitambi kama yale wataweza hata mazoezi kidogo to hayo??kazi ipo geshi letu na matanuzi na vitambi
 
hii kweli adhabu si zoezi. no wonder ndugu zetu wa visiwani huwa hawamalizi wote lazima wataishia njiani baadhi yao. kama mambo yenyewe ndo haya
 
Back
Top Bottom