Salahan
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,963
- 3,675
Unashangaa nini ndio nishaamua mwenzenu nimejichanga na pesa za kudunduliza kwa mwaka mzima sasa ndio nimeamua kufungua hazina hii.
Sasa sijui nile bata na my valentine au ndio niongeze mtaji. Ila biashara yangu haihitaji pesa nyingi coz mimi ni muuza shanga na mpamba kucha.
ENYWAY acha wanitambue valentine hii samakisamaki moroe by muuza shanga.