Aisee kupendwa raha
Tabasamu ni rutuba ya ndoa!
hata wewe ruksa kumpelekeaWanawake bana, hapo ukute kapokea zawadi toka kwa njemba kibao!!!!!!!!
Aaaa wapi! Kupendwa, kupenda, vyote ni maumivu tuAisee kupendwa raha
Kupenda ndo raha zaidi
Weeeeee!!! thubutu, nani wa hivyo? Mimi m-cax!:bowl:hata wewe ruksa kumpelekea
Kama ninavyokupenda wewe unajisikiaje MadameX Raha au karaha?Aisee kupendwa raha