Haya mdanganye tu sasa...!!!

Mwanamke ukimwambia ukweli anaona umemdanganya! Dawa ni kuwadanganya tu na wanafurahi kweli wanajua ndo ukweli!!
 
Mwanamke ukimwambia ukweli anaona umemdanganya! Dawa ni kuwadanganya tu na wanafurahi kweli wanajua ndo ukweli!!

Naomba niwatetee wale ambao ni wakweli na wanayaheshimu mahusiano yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…