Haya Mazoedi!!!!!Dah ni kiboko karibuni........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya Mazoedi!!!!!Dah ni kiboko karibuni........

Discussion in 'JF Doctor' started by tete'a'tete, Jan 31, 2012.

 1. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mabrodaaaaaz na masistaaz karibuni kwenye mazoezi kweli nilisoma hapa kwa blog ni jinsi gani nitakata wait sasa tupo kama dadaz wanne hivi sasa tunatembea muda wa 1hr na pia nakula kidogo ni kama week mbili sasa majibu nimeyaona karibuni tujishughulishe anayetaka kujiunga anipm tuwe pamoja mida ni jioni after working hrs...

  Tanzania na Mazoezi Tunaweza....Mchana mwema...
   
Loading...