Mwenda_Pole
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 281
- 66
Nimekuwa nikisilikiza radio maria na kwa siku kadhaa kumekuwa na tangazo la tamasha ambalo limepangwa kufanyika mkoani mwanza na huyu Msanii wa nyimbo za injili Flora Mbasha akishikilikiana na wengine. Ni tamasha linalohusu uzinduzi wa album yake pamoja na video CD. Tamasha litafanyika katika uwanja wa CCM kirumba na kitu kinachonishangaza ni kuwa kutakuwa na kiingilio katika tamasha hili la nyimbo za injili...!! kana kwamba hiyo haitoshi viingilio vimegawanywa katika makundi mawili, kawaida ni sh 2000 na VIP ni sh 5000.
Wakuu kadri siku zinavyokwenda hii inaonekana kama ni kitu ya kawaida kabisa kwa hawa wasanii wa nyimbo za injili kufanya matamasha na kuweka viingilio.
swali ni kwamba je? Inamaana kuna VIP kwenye dini...????? na inamaana watu inabidi sasa watambue kuwa injili sasa haipatikani bure..?? Je hayo ndio maagizo ya maandiko matakatifu..?? mbona dini sasa imevamiwa..?? na hawa wasanii wenyewe wanavyofanya hizo performance zao siku hizi hakuna tofauti kabisa na hawa wanamuziki wa lingara/boringo kutoka congo ama FM academia, je hii ni sawa kwa nyimbo za injili?? naomba mnisaidie kwani nina maswali mengi kuliko majibu manake hawa wanajiita wasanii wa nyimbo za injili wa siku hizi ni balaa, especially huyu Lady amekuwa so deep in business kabisa katika dini, you can tell it quite easily.
I miss those moments enzi za Mwanza town kwaya, Ulyankulu Tabora, Upendo Kwaya na pia kulikuwa na wenzetu kule Arusha walikuwa wanaimba vizuri sana .
Nisaidieni maoni yenu, Rev Kishoka, Exaud, Mchungaji na wengine woote nawasubiria....
Hizo kwaya ulikuwa unazipata bure?Nimekuwa nikisilikiza radio maria na kwa siku kadhaa kumekuwa na tangazo la tamasha ambalo limepangwa kufanyika mkoani mwanza na huyu Msanii wa nyimbo za injili Flora Mbasha akishikilikiana na wengine. Ni tamasha linalohusu uzinduzi wa album yake pamoja na video CD. Tamasha litafanyika katika uwanja wa CCM kirumba na kitu kinachonishangaza ni kuwa kutakuwa na kiingilio katika tamasha hili la nyimbo za injili...!! kana kwamba hiyo haitoshi viingilio vimegawanywa katika makundi mawili, kawaida ni sh 2000 na VIP ni sh 5000.
Wakuu kadri siku zinavyokwenda hii inaonekana kama ni kitu ya kawaida kabisa kwa hawa wasanii wa nyimbo za injili kufanya matamasha na kuweka viingilio.
swali ni kwamba je? Inamaana kuna VIP kwenye dini...????? na inamaana watu inabidi sasa watambue kuwa injili sasa haipatikani bure..?? Je hayo ndio maagizo ya maandiko matakatifu..?? mbona dini sasa imevamiwa..?? na hawa wasanii wenyewe wanavyofanya hizo performance zao siku hizi hakuna tofauti kabisa na hawa wanamuziki wa lingara/boringo kutoka congo ama FM academia, je hii ni sawa kwa nyimbo za injili?? naomba mnisaidie kwani nina maswali mengi kuliko majibu manake hawa wanajiita wasanii wa nyimbo za injili wa siku hizi ni balaa, especially huyu Lady amekuwa so deep in business kabisa katika dini, you can tell it quite easily.
I miss those moments enzi za Mwanza town kwaya, Ulyankulu Tabora, Upendo Kwaya na pia kulikuwa na wenzetu kule Arusha walikuwa wanaimba vizuri sana .
Nisaidieni maoni yenu, Rev Kishoka, Exaud, Mchungaji na wengine woote nawasubiria....
.Mkuu
ukifikiria mambo mengi kwenye hii dini mwishowe utaiacha/convert to..!! bora fumba macho endelea kufuatafuata. inasikitisha sana!!!
Point yangu ipo kwenye namna wanavyoendesha hizi shughuli zao.Yaani imekuwa hakuna tofauti na wanaume TMK. nilikuwa nasikiliza radioni pamoja na kununua kanda zao na pia katika mahubiri lakini sio kwa kwenda kutoa kiingilio uwanjani ili kuona show ya kwaya.wanaweza kurudisha pesa zao kwa njia ya kuuza kanda na sadaka kwenye mahubiri lakini sio kuweka mlinzi getini na kukusanya kiingilioHizo kwaya ulikuwa unazipata bure?
watu wakishachoka na ufisadi kwa kila kitu ufisadi!
yaani mtu afanye mazoezi, atafute mwalimu, arekodi nyimbo(aende kulipia studio-hamna ya bure), atafute sare then aje alete bure!
hainiingii akilini! wanakula wapi? kama unaweza kuonyesha mfano wa kitu chochote wanachotoa pesa watu wewe ukafanya bure itakuwa vizuri sana mkuu!
Yeah ninaelewa shughuli zoote hizo ulizosema za maandalizi na hatimaye kutoa album but ninachopinga mimi ni utaratibu mzima wanautumia.vinginevyo tutahalalisha kila kitu kifanyike kwa mgongo wa dini kwa sababu tu ndio kazi yao.Pamoja na kwamba wanaimba injili, lakini unatakiwa ujue ndio njia yao ya kuendesha maisha yao kwa hiyo lazima kuwe na kipato, kwa sababu kuna gharama ametumia mpaka kufika huko, nauli , vyombo kurekodi, kulipa waimbaji wanaomsaidia,
Kwenye biblia sikumbuki kitabu nikikumbuka nitakuambia , inasema kila mtu atakula mahali pake pa kazi, yani kutokana na kazi yake anatakiwa ale, ikiwa ni pamoja na hayo mapato.
ndo maaa hata kwa watumishi wa Mungu ni lazima tutoe sadaka, zaka ili na wenyewe waendeshe maisha yao.
Watanzania tutakapofika mahali pa kujua kulipia services ndipo maendeleo yatapatikana.watu wakishachoka na ufisadi kwa kila kitu ufisadi!
yaani mtu afanye mazoezi, atafute mwalimu, arekodi nyimbo(aende kulipia studio-hamna ya bure), atafute sare then aje alete bure!
hainiingii akilini! wanakula wapi? kama unaweza kuonyesha mfano wa kitu chochote wanachotoa pesa watu wewe ukafanya bure itakuwa vizuri sana mkuu!
Watanzania tutakapofika mahali pa kujua kulipia services ndipo maendeleo yatapatikana.
Lakini kama ulivyoainisha hapo juu BURE imekithiri kila mahali.
Hata serikali imefikia mahali kama haijaomba omba BURE toka ulaya inaona mabo hayaendi. madhehebu hata kujenga jengo la mita 7x5 lazima ulaya walete pesa.
Hii imedumaza mawazo yetu na kuleta ujinga kwetu.
Tujifunze kutoa japo kidogo kwa ajili ya huduma za wengine. Baa tunakwenda kunywa na kugawa bia tunavyopenda, makanisa na kwaya tupate BURE wapi kwa wapi?
We angalia hata kusaidia JF watu maswali mengi! sababu kuzoea BURE.
Point yangu ipo kwenye namna wanavyoendesha hizi shughuli zao.Yaani imekuwa hakuna tofauti na wanaume TMK. nilikuwa nasikiliza radioni pamoja na kununua kanda zao na pia katika mahubiri lakini sio kwa kwenda kutoa kiingilio uwanjani ili kuona show ya kwaya.wanaweza kurudisha pesa zao kwa njia ya kuuza kanda na sadaka kwenye mahubiri lakini sio kuweka mlinzi getini na kukusanya kiingilio
Wanamuziki wa injili ni wafanyabiashara kama wafanyabiashara wengine tu. Ila opportunity wameipata kwenye hizo nyimbo- zina soko. Usidanganywe kwa maneno ya kidini wanayoyatumia wanapojinadi, wanachotafuta ni PESA ndo maana kuna Kiingilio na si sadaka. Ninachoelewa mie kama injili ingekuwa ndicho kipaumbele basi kiingilio kisingewekwa mbele na watu wangetoa kwa kuguswa na hilo neno linalotajwa pale. Lakini mbaya zaidi nikuwa baadhi ya hao wanamuziki wa injili hutafuta wachezaji toka popote pale ili kufanikisha show zao kwa kuwalipa kitu kidogo!
Mungu atuhurumie sana. Hilo linanikumbusha pale Yesu alipoingia Hekaluni akakuta wale wafanyabiashara AKAZIPINDUA MEZA ZAO NA KUWACHARAZA VIBOKO akiwaambia NYUMBA YANGU SI PANGO LA WANYANG'ANYI. Naona inakuja tena kwa njia ya nyimbo. Mungu atupe hekima ya ku-balance mambo kwani inavyokuja sasa lazima tujiulize YANATUPELEKA WAPI????
Mkuu mwendapole,out of all huyu (post # 17) katoa majibu mujarab. Lakini hilo la kuwa na VIP kwenye tamasha la dini mimi sijaridhika nalo.dini inatambua uwepo wa VIP?..mbona wanalikwepa?Wanamuziki wa injili ni wafanyabiashara kama wafanyabiashara wengine tu. Ila opportunity wameipata kwenye hizo nyimbo- zina soko. Usidanganywe kwa maneno ya kidini wanayoyatumia wanapojinadi, wanachotafuta ni PESA ndo maana kuna Kiingilio na si sadaka. Ninachoelewa mie kama injili ingekuwa ndicho kipaumbele basi kiingilio kisingewekwa mbele na watu wangetoa kwa kuguswa na hilo neno linalotajwa pale. Lakini mbaya zaidi nikuwa baadhi ya hao wanamuziki wa injili hutafuta wachezaji toka popote pale ili kufanikisha show zao kwa kuwalipa kitu kidogo!