General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,868
- 2,200
Wanajamvi wengi wamezowea kuniona kule MMU lakini nimekuja huku nikitatizwa na mambo haya huku nikihitaji kupatiwa ufumbuzi wake:-
1- ktk ligi ya Uingereza pale wachezaji wanapotoka vyumba vya kubadilishia nguo na kuingia uwanjani kwa ajili ya kutaka kuanza mechi huwa wameambatana na watoto tena wote wakiwa wamevishwa jezi ya zile timu zinazocheza cku hiyo, sasa swali langu hapa ni:- wale watoto huwa ni wa wachezaji? Na kama sio huwa wanawatoa wapi?
2- hapa kwetu kuna hizi timu TAIFA STARS na KILIMANJARO STARS......kuna utofauti gani ktk hizi timu? Maana huwa naona zinashiriki michuano inayokaribia kufanana na hata wengi wa wachezaji waliopo taifa pia wanacheza Kilimanjaro.
3- hivi hakuna uwezekano au utaratibu wa kuundwa timu ya taifa ya kudumu ambayo pia inaweza kushiriki hata ligi kuu? (Hili swali nilishauliza huko nyuma lakini likafanyiwa mizaha sana)
4- kwa wanaojua process za kusajili kampuni binafc wanisaidie kwa haraka sana
5- hivi ikitokea member wa JF akafariki dunia......kwa mfano.....Super #General Galadudu comamando mwokozi, mwamba wa vita vya msituni na mjini, angani na majini........mtajuaje kama amerest in peace.
Hayo ndo yamenitatiza kwa muda mrefu jamani, jibu yote kama unaona unayafahamu au jibu moja kwa unalolifahamu