george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 2,034
4M+ kawaida tu, wala sio ya kujiliza liza.. hapo ni kujipoga kifuani na kusema hapa nimetoa bokoo π π ila sio kuanza kutoa choziAcha tu kaka Kuna masela wanakera!
Kuna jamaang moja tulitoka kitaa kimoja huko Geneva ya Africa katika pita pita za kusaka shillingi Mungu akamulikia tochi michongo yake ikatiki.
Akapata demu wa kitanga demu ni mkali kinoma akampa demu mtaji wa biashara 4M+
Demu alikula hela yote akaolewa na mtu mwngn
Na Huyo jamaa ni weweKuna jamaa yg mmoja yeye anampenda sana mke wake ,kiukweli upendo ule sijawai kukuona
Cha kwanza jamaa hana kazi maalumu Kila dili ngumu ye anapiga tu , ila anahakikisha mkewe anapata mahitaji yote muhimu
Jamaa humnunulia mkewe nguo za thamani na kumpa vitu vyote vizuri
, Cha ajabu mkewe ni kicheche sana
Tukio la ajabu Kuna siku mke aliondoka ghafla pasipo mume kujua , Sasa tulimtafuta sanaaa hakupatikana baada ya wiki tukapata taalifa Yuko salasala benako Kuna mchizi anabiga mbupu kafungia ndani
Akatuchukua ili tumpe kampani ya kwenda kufanya Fuji ili kumuonesha mshikaji ubabe , kama vipi timsaule Kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee tukatoka na hasira tukiwa na silaha mbalimbali za jadi huku njiani tukijiapiza haiwezekani fala mmoja kuja kuchukua mke wa swahiba wetu na kwenda kumfungia ndani
Ebwanaaa kufika eneo la tukio ohoooo
Ile tunataka kulianzisha , huyu jamaa wetu mwenye mke akapoa tunaona mtu anapiga magoti huku anaelekea alipokaa mke wake Tena huku anaomba msamaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee tulipata hasira sana Tena jamaa alitefedhehesha mno , ye ndio kwanza anatuambua jamani acheni fujo ngoja niongee na mke wg , mke akawa anagoma kuondoka , ikabidi amwambie mgoni wake bana niachie mke wg siku zote umekaa nae hujatosheka tu
Jamaa akamjibu ongea na mkeo mi kosa lg lipi , kuongea na mkewe mke akamwambia niachie nauli ya boda nakuja kesho
Swahiba wetu akachomoa 10000 akamuachia tukaondoka , kesho yke asubui mke akaja wakaendelea na maisha
Mimi binafsi nasema ,unaweza jua umeona na kusikia vitu vingi , kumbe ni mengi hatujayajua Duniani tuvijuavyo ni theruthi tu
Apana Kwa sisi tunaoanza maisha <25 ni kubwa kaka! Ukizingatia bado unalipa kodi4M+ kawaida tu, wala sio ya kujiliza liza.. hapo ni kujipoga kifuani na kusema hapa nimetoa bokoo π π ila sio kuanza kutoa chozi
Unaanza maisha na kuhonga mbona vitu haviendani hivyo π π π .. Ajifunze na makosa mpe mwanamke kiasi cha hela ambacho hakito kuumiza hata akilala mbeleApana Kwa sisi tunaoanza maisha <25 ni kubwa kaka! Ukizingatia bado unalipa kodi
Ukiwekeza 10M kwenye huduma za miamala 4M itakua commission ya karibia miezi minne hadi sita
4m nayo hela ya mtaji?Acha tu kaka Kuna masela wanakera!
Kuna jamaang moja tulitoka kitaa kimoja huko Geneva ya Africa katika pita pita za kusaka shillingi Mungu akamulikia tochi michongo yake ikatiki.
Akapata demu wa kitanga demu ni mkali kinoma akampa demu mtaji wa biashara 4M+
Demu alikula hela yote akaolewa na mtu mwngn
Ya shopping na saloon4m nayo hela ya mtaji?
Ndo maaana nakwambia kila mtu akiwa mbele ya mwanamke ana namna yakeπ€£π€£π€£tuUnaanza maisha na kuhonga mbona vitu haviendani hivyo π π π .. Ajifunze na makosa mpe mwanamke kiasi cha hela ambacho hakito kuumiza hata akilala mbele
Mi nlianza na 2.5M4m nayo hela ya mtaji?
Hakunieleza vzr! Maana mi nae nliona kumuulza kama ufala tuYa shopping na saloon