sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
Kiingereza hiki jamani??Hata sijaelewa chochote
Aliyenunua cheni katoa hela bandia na alieuza cheni katoa cheni Bandia. Ngoma suluhu hio.. Droo ya moja moja.
Kila mla huliwa ukute na wife yupo na mume wa baby hatariiiii.
Kiingereza hiki jamani??Hata sijaelewa chochote
mi nimeelewa...jamaa imegoma kudind.a hivyo anaangalia manual yake kwenye google...Kiingereza hiki jamani??Hata sijaelewa chochote