Haya mapenzi haya!

pata aliyemaliza na kutulia kama wewe, laa sivyo sahau hii kitu.

Mimi mwenyewe nishamaliza nimeamua kutulia ila siwaoni walioamua kama mm kwaiyo sipo commitment na mtu kabisaaa
 
pata aliyemaliza na kutulia kama wewe, laa sivyo sahau hii kitu.

Mimi mwenyewe nishamaliza nimeamua kutulia ila siwaoni walioamua kama mm kwaiyo sipo commitment na mtu kabisaaa
Ni kweli mkuu.
 
Mmekutana wote mcharuko, ukizidiwa unalalamika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tuko wengi mzeee wala hauko peke yako cha msingi tuangalie nini moyo unataka

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
kama vp tafuta dunia ya peke yako utulize akili mana hii dunia tunayoishi unaweza jikuta unavaa chupi kichwani
 
Dawa yao hao kuoa mke wa pili bimdogo, akiwa peke yake anajiona keki
 
Kipindi unamvumilia anakuletea Ukimwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…