In the real sense huyo mwanamke anampenda jamaa na hawezi kukubali the fact kwamba wametengana, na ikitokea jamaa akitaka kukumbushia mechi msichana atakubali bila kipingamizi.
Kuna wakati ukiyawaza sana mapenzi unakosa majibu, kwahyo waachie wao na mambo yao.