Haya maneno wengi yanawachanganya

Haya maneno wengi yanawachanganya

Mimi pia hua sielewi mtu akisema naku PM_ sielewi hiyo pm ndo kitugan
 
XaXa sijui ndo nini, niliwahi tumiwa kwenye sms
 
GGMU = Glory Glory Manchester United

YWNWA = You will never walk alone.

COYG = Come on you Gunners
 
LOL=Kifupisho cha Kinyakyusa Loli eee,..manaake kushangaa au kuduwaa.
 
Back
Top Bottom