mludego JF-Expert Member Joined Mar 16, 2013 Posts 2,655 Reaction score 3,664 May 13, 2013 #1 chundabadi na katalelo nisaidieni kujua maana zake
N Naghenjwa JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 723 Reaction score 167 May 13, 2013 #2 mludego said: chundabadi na katalelo nisaidieni kujua maana zake Click to expand... Watu wa kanda ya ziwa watakuja hapa kukujibu nafikiri kule kemondo
mludego said: chundabadi na katalelo nisaidieni kujua maana zake Click to expand... Watu wa kanda ya ziwa watakuja hapa kukujibu nafikiri kule kemondo
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 May 13, 2013 #3 Unamaanisha katerero?
mludego JF-Expert Member Joined Mar 16, 2013 Posts 2,655 Reaction score 3,664 May 13, 2013 Thread starter #4 grafani11 said: Unamaanisha katerero? Click to expand... ndio kaka
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 May 13, 2013 #5 mludego said: ndio kaka Click to expand... Hiyo ni sehemu ya mkoa wa Kagera au ulitaka zaidi ya hapo?
mludego said: ndio kaka Click to expand... Hiyo ni sehemu ya mkoa wa Kagera au ulitaka zaidi ya hapo?
mludego JF-Expert Member Joined Mar 16, 2013 Posts 2,655 Reaction score 3,664 May 13, 2013 Thread starter #6 grafani11 said: Hiyo ni sehemu ya mkoa wa Kagera au ulitaka zaidi ya hapo? Click to expand... kama ipo zaidi nsaidie vp khsu chundabadi
grafani11 said: Hiyo ni sehemu ya mkoa wa Kagera au ulitaka zaidi ya hapo? Click to expand... kama ipo zaidi nsaidie vp khsu chundabadi
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 May 13, 2013 #7 mludego said: kama ipo zaidi nsaidie vp khsu chundabadi Click to expand... Kuhusu chundabadi ngoja tumsubiri Bujibuji yeye ni mzoefu sana wa kanda ya ziwa na hata Kihindi anakijua vizuri.
mludego said: kama ipo zaidi nsaidie vp khsu chundabadi Click to expand... Kuhusu chundabadi ngoja tumsubiri Bujibuji yeye ni mzoefu sana wa kanda ya ziwa na hata Kihindi anakijua vizuri.