Haya mambo yanatokea!

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
May 24, 2013
3,564
1,991
Jamaa kaingia msikitini kuswali bahati mbaya alisahau kuzima simu
wakati ibada ikiendelea simu yake ikaita. Akaingiza
mkono mfukoni kwa lengo la kuizima, bahati mbaya akaipokea mara sauti ya kike kutoka kwenye simu ikaongea,
"Haloo? Haloo? Mpenzi mbona kimya?" Jamaa kusikia simu inaongea
akajaribu kuizima tena, bahati mbaya akaweka Loud speaker sasa msikiti wote watu
wakawa wanasikia simu ikiendelea kuongea
"Hata usiponijibu mpenzi, nakuambia tu leo ninajisikia, natamani ku-do tena leo n'takukatikia mauno mpaka basi!
Hata tigo ukitaka leo n'takupa maana huo nd'o ugonjwa wako!"

***********************
Sijui hali ilikuwaje baada ya kumalizika kwa ibada hapo msikitini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom