Haya mambo yanahitaji tafakuri ya kiimani, kitheologia, kihistoria na kibinadamu

biblia sio maandiko matakatifu ya mungu
ni hadithi za kukopi kutoka maandiko ya misri(kemet) na kuchanganya na uongo wao
Sasa mkuu kama sio maandiko matakatifu mbona yaliyoandikwa yote yapo..?
 
labd pengine anajiamini mkuu mpaka yeye kuamua kuongea hivyo.
 
Kitu cha kwanza kabisa unachotakiwa kujua ni kwamba hakuna Mungu.

Ukijua hilo kwanza, ndipo utaweza kuangaliamambomengine yote kwa mwanga sawa,kwamba hizi zote ni siasa za binadamu tu.

Bila kujua hilo, habari za Mungu zitapotosha kila kitu.
wote hatujui kama Mungu yupo au hayupo but aaminie mpk mwisho ndie atakayepona..
 


Nijikute naamini some garbages from a piece of literature written by narcissistic old males of the 1st century with an ego huge than Serengeti for the mankind to follow....niache kutetea mweusi mwenzangu next door hapo nikatete majitu mabaguzi na huyo mungu wao ni baguzi namba moja for what?it does not make any sense.Hata kama ni imani,imani haitakiwi ku-insult human common intelligence this way,shame on them!
 
wote hatujui kama Mungu yupo au hayupo but aaminie mpk mwisho ndie atakayepona..
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote anaweza kuthibitishwa kwamba hayupo kama inavyoweza kuthibitishwa kwamba square root ya 2 haiwezi kuwa 10 katika base ten math.
 
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote anaweza kuthibitishwa kwamba hayupo kama inavyoweza kuthibitishwa kwamba square root ya 2 haiwezi kuwa 10 katika base ten math.
saw saw mkuu..
 
Baada ya vita kuu ya pili ya dunia ndo matatizo yalipoanza
wayahudi waliouwawa huko Ujerumani wakawa wanashawishi dunia
'warudi kwao'

Sasa kwao ni wapi? ndo ikasemwa itazamwe biblia...
biblia ikasema kwao ni ulipo mto nile
ndo maana ilikuwa bado kidogo wawekwe Uganda,,
na hata Tanzania pia ilifikiriwa...
Ethiopia pia......mwisho ndo wakapelekwa Palestine
huku Palestine iko chini ya UK..
ukitazama sana source ya conflicts nyingi duniani utaona
UK ndo source.....

Hata India na Palestine ..UK ndo source...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…