Haya mambo yamekaaje?

Haya mambo yamekaaje?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Hivi haya mambo ua na kwenu au ni kwangu tu
Sasa hivi nina miaka 2 toka tuachane na X mke wangu
Ila cha ajabu bado familia yao wananichukulia kama mwana familia wao tu
Habari zote za familia bado nina pewa
Ushemeji bado upo
Eshima ya mkwe bado ipo
Mdogo wake alikuwa na tabia ya kuja kuangalia TV kwangu lakini bado anakuja kuangalia TV
Yaani kwa ufupi bado wanaendelea kunichukulia mimi kama mkwe
Mpaka imefika hatua mke wangu wa sasa ameanza kufikiria vibaya

Wakubwa naombeni amniambiye
Je haya mambo yamekaaje?

Mkiachana na mwanamke ule undugu haufi au?

Na kibaya mimi na mtoto wao tulibahatika kupata mtoto lakini kwa bahati mbaya alitangulia mbele za haki
 
Hii ni alama wewe ulikuwa mwema sana kwa ndugunwa mkeo
 
Kijana acha utoto.Ulitaka wakuchukie?Ugombane na mmoja wakuchukie wote?Halafu,ukileta ujuaji utalipishwa uchakavu wa godoro.Kwa umri wako unaijua hiyo tozo?Ishi na wazee kwa adabu ufaidi mdogo wangu.Ndiyo maisha.Usiwafedheheshe,watakuaibisha.
 
Hivi haya mambo ua na kwenu au ni kwangu tu
Sasa hivi nina miaka 2 toka tuachane na X mke wangu
Ila cha ajabu bado familia yao wananichukulia kama mwana familia wao tu
Habari zote za familia bado nina pewa
Ushemeji bado upo
Eshima ya mkwe bado ipo
Mdogo wake alikuwa na tabia ya kuja kuangalia TV kwangu lakini bado anakuja kuangalia TV
Yaani kwa ufupi bado wanaendelea kunichukulia mimi kama mkwe
Mpaka imefika hatua mke wangu wa sasa ameanza kufikiria vibaya

Wakubwa naombeni amniambiye
Je haya mambo yamekaaje?

Mkiachana na mwanamke ule undugu haufi au?

Na kibaya mimi na mtoto wao tulibahatika kupata mtoto lakini kwa bahati mbaya alitangulia mbele za haki
Inaonekana ulikua msaada kwao, namaanisha maisha yao hayapo vizuri
 
Back
Top Bottom