Haya mambo huwezi amini yanatokea katika Taifa lenye wasomi halafu hakuna anayehoji

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
39,344
2,000
TRA walikuja na utaratibu mzuri wa kutangaza makusanyo ya kila mwezi, utaratibu ambao ulianza mwaka jana mwishoni.

Kama mtakumbuka,awali walikuwa wanatupa mchanganuo wa makusanyo hayo kutoka kwenye vyanzo vikuu mbalmbali.

Kwa mfano,walikuwa wakituonyesha ni kiasi gani wamekusanya kutoka vyanzo mapato ambavyo havihusishi kodi kama vile faini za barabarani,n.k

Pia walikuwa wakitupa mchanganuo ni jinsi gani fedha zote zilizokusanywa zitatumika.

Cha kushangaza,utaratibu huu ukasitishwa ghafla na badala yake tukawa tunapewa tu taarifa kuwa mwezi huu tumekusanya kiasi fulani bila mchanganua wa mapato na matumizi.

Cha kustaajabisha hakuna anaehoji sababu za kubadili utaratibu huu wakiwemo waandishi ambao huitwa na kupewa taarifa hizi na TRA waandishi ambao tulitaraji wangehoji kwa niaba yetu.

Cha kushangaza zaidi hata wanasiasa wa upinzani na wasomi wa nchi hii nao hakuna anaehoji!!

Yote tisa. kumi ni ya mwezi uliopita (mwezi November) ambapo hata mapato yake hayajatangazwa na hakuna sababu zilizotokewa lakini nchi nzima kimyaaa!!!!!

Si wanasiasa,si waandishi,si wasomi wote kimya isipokuwa members wa JamiiForums tu kupitia Jukwaa hili la siasa ndio wanaojaribu kuhoji.

Sasa najiuliza sisi ni taifa la watu wa aina gani?

Je,tumekataa tamaa?

Ni waogo?

Ukimya huu unatusaidia au ndio unawaongeza nguvu wenye mamlaka kufanya watakavyo?

Au hatuhoji kwasababu tu utaratibu huu haukuwa wa kisheria?Inaangia akilini kweli?

Mzee Kenyata huenda alikuwa sahihi kama kweli alisema maneno yale.

Kweli wa kuhoji haya ni watumiaji wa JamiiForums tu?!

All I can say is that,some people would be happier if JamiiForums never existed and perhaps they wish so.
 
BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,047
2,000
Akihubiri katika ibada ya Christmas Askofu Shoo mesema serikali imesitisha ajira
mpaka sasa watanzania wengi
walia walalamika kusitishwa kwa
ajira serikali haitaki kusema
ukweli alisema shoo hali ya
umasikini yatanda yawa mbaya
kuliko vipindi vyote vya uongozi
watumishi wa umma wanaogopa
kutumbuliwa awahasa kuendelea
kusema ukweli asema watanzania
walilia mikopo elimu ya juu asema
serikali haina hofu ya mungu
askofu shoo alisema viongozi
wengi wamekuwa wakitoa ahadi
na maneno ya uongo kwa
wananchi bila utekelezaji alisema
huko si kuwadanganya wananchi
ni kumdanganya mungu wao
alisema uongozi ni mpito baada ya
uongozi kuna maisha ambayo
mungu Pekee ndoo atakuwa
shujaa na kiongozi amewataka
viongozi kuwa na hofu ya mungu
 
Phd Hewa

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
567
500

Siyo viongozi wa ccm Labda wengine.
 
Sputam

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
598

Kweli huyu ni askofu mwenye hofu ya Mungu, anasema ukweli sio wale wanaojipendekeza km mkuu wa kanisa flani, eti sasa hali ya maisha ya watz yazidi kuimarika, huo ni unafiki mkubwa
 
kitowowoti

JF-Expert Member
Feb 25, 2016
296
250
Kweli huyu ni askofu mwenye hofu ya Mungu, anasema ukweli sio wale wanaojipendekeza km mkuu wa kanisa flani, eti sasa hali ya maisha ya watz yazidi kuimarika, huo ni unafiki mkubwa
Si mara zote mtu akisema "hizi ni mbichi anamaanisha ni Mbichi"
 
CONSTRUCTIVE THOUGHT

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
1,166
1,500
TRA walikuja na utaratibu mzuri wa kutangaza makusanyo ya kila mwezi, utaratibu ambao ulianza mwaka jana mwishoni.

Kama mtakumbuka,awali walikuwa wanatupa mchanganuo wa makusanyo hayo kutoka kwenye vyanzo vikuu mbalmbali.

Kwa mfano,walikuwa wakituonyesha ni kiasi gani wamekusanya kutoka vyanzo mapato ambavyo havihusishi kodi kama vile faini za barabarani,n.k

Pia walikuwa wakitupa mchanganuo ni jinsi gani fedha zote zilizokusanywa zitatumika.

Cha kushangaza,utaratibu huu ukasitishwa ghafla na badala yake tukawa tunapewa tu taarifa kuwa mwezi huu tumekusanya kiasi fulani bila mchanganua wa mapato na matumizi.

Cha kustaajabisha hakuna anaehoji sababu za kubadili utaratibu huu wakiwemo waandishi ambao huitwa na kupewa taarifa hizi na TRA waandishi ambao tulitaraji wangehoji kwa niaba yetu.

Cha kushangaza zaidi hata wanasiasa wa upinzani na wasomi wa nchi hii nao hakuna anaehoji!!

Yote tisa. kumi ni ya mwezi uliopita (mwezi November) ambapo hata mapato yake hayajatangazwa na hakuna sababu zilizotokewa lakini nchi nzima kimyaaa!!!!!

Si wanasiasa,si waandishi,si wasomi wote kimya isipokuwa members wa JamiiForums tu kupitia Jukwaa hili la siasa ndio wanaojaribu kuhoji.

Sasa najiuliza sisi ni taifa la watu wa aina gani?

Je,tumekataa tamaa?

Ni waogo?

Ukimya huu unatusaidia au ndio unawaongeza nguvu wenye mamlaka kufanya watakavyo?

Au hatuhoji kwasababu tu utaratibu huu haukuwa wa kisheria?Inaangia akilini kweli?

Mzee Kenyata huenda alikuwa sahihi kama kweli alisema maneno yale.

Kweli wa kuhoji haya ni watumiaji wa JamiiForums tu?!

All I can say is that,some people would be happier if JamiiForums never existed and perhaps they wish so.
Kama walikuaga hawatoi na hakuna mtu aliohoji, walianza kutoa hakuna mtu aliohoji na sasa wasimama kutoa, ndio unaona umuhimu wa kuhoji!

Think beyond the physical presence!!
 
Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,276
2,000
TRA walikuja na utaratibu mzuri wa kutangaza makusanyo ya kila mwezi, utaratibu ambao ulianza mwaka jana mwishoni.

Kama mtakumbuka,awali walikuwa wanatupa mchanganuo wa makusanyo hayo kutoka kwenye vyanzo vikuu mbalmbali.

Kwa mfano,walikuwa wakituonyesha ni kiasi gani wamekusanya kutoka vyanzo mapato ambavyo havihusishi kodi kama vile faini za barabarani,n.k

Pia walikuwa wakitupa mchanganuo ni jinsi gani fedha zote zilizokusanywa zitatumika.

Cha kushangaza,utaratibu huu ukasitishwa ghafla na badala yake tukawa tunapewa tu taarifa kuwa mwezi huu tumekusanya kiasi fulani bila mchanganua wa mapato na matumizi.

Cha kustaajabisha hakuna anaehoji sababu za kubadili utaratibu huu wakiwemo waandishi ambao huitwa na kupewa taarifa hizi na TRA waandishi ambao tulitaraji wangehoji kwa niaba yetu.

Cha kushangaza zaidi hata wanasiasa wa upinzani na wasomi wa nchi hii nao hakuna anaehoji!!

Yote tisa. kumi ni ya mwezi uliopita (mwezi November) ambapo hata mapato yake hayajatangazwa na hakuna sababu zilizotokewa lakini nchi nzima kimyaaa!!!!!

Si wanasiasa,si waandishi,si wasomi wote kimya isipokuwa members wa JamiiForums tu kupitia Jukwaa hili la siasa ndio wanaojaribu kuhoji.

Sasa najiuliza sisi ni taifa la watu wa aina gani?

Je,tumekataa tamaa?

Ni waogo?

Ukimya huu unatusaidia au ndio unawaongeza nguvu wenye mamlaka kufanya watakavyo?

Au hatuhoji kwasababu tu utaratibu huu haukuwa wa kisheria?Inaangia akilini kweli?

Mzee Kenyata huenda alikuwa sahihi kama kweli alisema maneno yale.

Kweli wa kuhoji haya ni watumiaji wa JamiiForums tu?!

All I can say is that,some people would be happier if JamiiForums never existed and perhaps they wish so.

Labda kamishna wa TRA anaogopa kutangaza kwa hofu ya kutunbuliwa. Si unajua yaliyomkuta DR.Mwele yele mkurugenzi wa NIMR?
 
Trimmer

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
1,499
2,000
"utajikuta mwenyewe tu na chatu"

Hii ndio sababu hata waandishi hawahoji,,
Wanachukua kama ilivyo wasilishwa kwao na kuandika..
 
Msororo69

JF-Expert Member
Feb 27, 2016
2,676
2,000
Wewe ndio mtanzani mzee Kenyata alikuwa akimuongelea.
Hilo ndio jawabu ulilostahiki. Hukuwahi kusikika ukiusifia huo utaratibu zaidi ulitoa kashfa wanapika taarifa.
Yaani watu kwenye akili kama zako Huwa mnakera sana. Namba kizuri mkasifia. Wacha watendaji wafanye yao kwa Uhuru.
 
Obama wa Bongo

JF-Expert Member
May 10, 2012
5,276
2,000
tulishajadili ili swala la mapato ya november na kuna jf member alituhakikishia kuwa makusanyo yaliiashia 800 billion tsh.
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,060
2,000
TRA walikuja na utaratibu mzuri wa kutangaza makusanyo ya kila mwezi, utaratibu ambao ulianza mwaka jana mwishoni.

Kama mtakumbuka,awali walikuwa wanatupa mchanganuo wa makusanyo hayo kutoka kwenye vyanzo vikuu mbalmbali.

Kwa mfano,walikuwa wakituonyesha ni kiasi gani wamekusanya kutoka vyanzo mapato ambavyo havihusishi kodi kama vile faini za barabarani,n.k

Pia walikuwa wakitupa mchanganuo ni jinsi gani fedha zote zilizokusanywa zitatumika.

Cha kushangaza,utaratibu huu ukasitishwa ghafla na badala yake tukawa tunapewa tu taarifa kuwa mwezi huu tumekusanya kiasi fulani bila mchanganua wa mapato na matumizi.

Cha kustaajabisha hakuna anaehoji sababu za kubadili utaratibu huu wakiwemo waandishi ambao huitwa na kupewa taarifa hizi na TRA waandishi ambao tulitaraji wangehoji kwa niaba yetu.

Cha kushangaza zaidi hata wanasiasa wa upinzani na wasomi wa nchi hii nao hakuna anaehoji!!

Yote tisa. kumi ni ya mwezi uliopita (mwezi November) ambapo hata mapato yake hayajatangazwa na hakuna sababu zilizotokewa lakini nchi nzima kimyaaa!!!!!

Si wanasiasa,si waandishi,si wasomi wote kimya isipokuwa members wa JamiiForums tu kupitia Jukwaa hili la siasa ndio wanaojaribu kuhoji.

Sasa najiuliza sisi ni taifa la watu wa aina gani?

Je,tumekataa tamaa?

Ni waogo?

Ukimya huu unatusaidia au ndio unawaongeza nguvu wenye mamlaka kufanya watakavyo?

Au hatuhoji kwasababu tu utaratibu huu haukuwa wa kisheria?Inaangia akilini kweli?

Mzee Kenyata huenda alikuwa sahihi kama kweli alisema maneno yale.

Kweli wa kuhoji haya ni watumiaji wa JamiiForums tu?!

All I can say is that,some people would be happier if JamiiForums never existed and perhaps they wish so.
Kwani kutangaza mapato ni sheria au utaratibu tu?ambapo wanaweza kuachana nao.
Inawezekana wameona mnautumia vibaya,mlikuwa mnasubiri mapato yatangazwe mnasema yamepikwa,wewe Salary Slip ulikuwa kinara wa kusema mapato yamepikwa,sasa mnalalamika mapato hayatangazwi.
Kutangaza mapato sio sheria,waacheni watu wafanye kazi
 
MwanaCBE

JF-Expert Member
Sep 23, 2009
1,773
2,000
Kweli huyu ni askofu mwenye hofu ya Mungu, anasema ukweli sio wale wanaojipendekeza km mkuu wa kanisa flani, eti sasa hali ya maisha ya watz yazidi kuimarika, huo ni unafiki mkubwa
Yule kiboko yake Gwajima tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom