yapo mapenzi ya dhati but ni wachache sana tusigeneralize kwa sababu ya particular issue lets say wewe unajipeleka kimbelembele na viela vyako unaenda kununua upendo wakati u cant bguy love but ucan buy sex only hapo ndipo mnapochanganya ukipewa sex unaisi umepewa love ukiwa huna hela unaanza kulalamika hakuna love ya kweli kumbe huna hela ya kununua sex