Kwani
JF-Expert Member
- Jan 12, 2016
- 455
- 562
Jamani tunapoelekea sahivi sio kuzuri leo nimekutana na mdada mwembamba mno lakini yale makalio yake sio ya nchi hii na the way back huyu dada alikuwa ni flat sana sasa nkajiuliza mzigo huo kaupata waoi nkasema hata kama ni mtandao pendwa unaliwa lakini sio kwa kalio kuvimba vile kama la bashite baada ya kujiuliza sana nikakuta bango kubwa tu limechorwa linaonyesha mtu alivyokuwa hana mzigo lakini alipopata huduma amekuwa ana makalio standard gauge mawasiliano yao ni haya hapa 0689761221.
Hivi hii siku hizi imekuwa halali hadi watu kufanya matangazo na kulipia hayo matangazo halmashauri?
tena hawa watu ndio vinara wa kurangaza kwenye account zao za instagram soudy brown Diva the bawse.
Tafadhali serikali pigenj marufuku huu upuuzi maana itapelekea vitendo vingi vya ubakaji maana siyo kwa mizigo hiyo ikumbukwe tu [HASHTAG]#makallio[/HASHTAG] makubwa hayajawahi muacha mwanaume salama.
NAWASILISHA