Haya Majengo Yako Wapi Hapa Tanzania??

Haya Majengo Yako Wapi Hapa Tanzania??

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,808
Reaction score
129,674
Naomba mtu anisaidie haya majengo marefu kwenye hii picha yako wapi?

4.jpg
 
mbudya? nope jaribu tena
 
Haya ni yale yalio amriwa kubomolewa enzi za waziri mkuu aliyejiuzuru
 
Mkuu naona hizi mali ndizo zile babu yetu wa awamu ya kwanza alizo taifisha kutoka kwa wahindi ili sisi waswahili nasi tuwe na uwezo wa kimaisha na maendeleo kama wao wahindi walivo lakini wahenga waminena mbuzi wa masikini hazai na akizaa basi .huf.............
 
Back
Top Bottom